KISWAHILI

Karatasi ya 1

INSHA

Okt/Nov.2008

Saa 13/4

THE KENYA NATIONAL EXAMINATION COUNCIL

Kenya Certificate of Secondary Education

KISWAHILI

Karatasi ya 1

INSHA

SAA 1 ¾

Maagizo

Andika Insha mbili .Insha ya Kwanza ni ya lazima

Kisha chagua insha moja nyingne kutoka hizo tatu zilizobaki

Kisha insha isipugue maneno 400

Kila insha ina alama 20

 1. Insha ya lazima

Andika tahariri kwa gazeti la Raia ukieleza hatua zinazochukuliwa nchini ili kumwendeleza kielemu mtoto msichana.

 1. “Ufisadi ndicho kikwazo kikuu katika maendeleo ya uchumi wa taifa lolote” Thibitisha .
 2. Matikiti na matango ndiyo maponya njaa.
 3. Andika insha itakayomalizikia kwa:”Aha! Kumbe mwungana akivuliwa nguo huchutama. Sitasahau siku hiyo kwani sijawahi kufedheheka maishani kama nilivyoaibika siku hiyo”

Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa chapa .

Watahiniwa ni lazima waangalie kama kurasa zote za karatasi hii

Zimepigwa chapa sawasawa na kuwa maswali yote yamo.

2008 The Kenya National Examination Council Fungua ukurasa

Jina………………………………………………. Namba yako…………………………..

102/2 Sahihi ya mtahiniwa……………….

KISWAHILI

Karatasi ya 2 Tarehe…………………………….

LUGHA

Okt./Nov.2008

Saa: 2 ½

THE KENYA NATIONAL EXAMINATION COUNCIL

Kenya Certificate of Secondary Education

KISWAHILI

Karatasi ya 2

LUGHA

Saa 2 ½

Maagizo

Andika jina lako na namba yako katika nafasi ulizoachiwa hapo juu

Weka sahihi yako na tarehe ya mtihani katika nafasi ulizoachiwa hapo juu

Jibu maswali yote .Majibu yako yaandikwe katika nafasi zilizoachwa katika kijitabu

hiki cha maswali.

Karatasi hii ina kurasa 8 zilizopigwa chapa

Watahiniwa ni lazima waangalie kama kurasa zote

Zimepigwa chapa sawasawa na kuwa maswali yote yamo

UFAHAMU

Soma makala yafuatayo kisha ujibu maswali

Kuna aina kuu za hisia zinazotawala na kuongoza maisha ya mwanadamu :kuona ,kusikia, kugusa,kuonja na kunusa .Ni vigumu kusema ni hisia gain muhimu kuzidi nyingine ingawa ni dhabuu athari kubwa humuangukia mahuluku asiyeweza kuona. Inasemekana kuwa mishipi ya fahamu inayounga ubongo na macho ni mikubwa zaidi kuliko mishipi ya fahamu inayounga ubongo na viwambo vya masikio .Na katika maisha na nyendo za kila siku kuona hupewa nzito mkubwa mingairi ya kusikia .Pengine basi sio ajabu kama itakavyobainika punde baadaye kuwa kazi nyingi za fasihi andishi zimeelemea mno katika hisia hii kana kwamba zile nyingine kuu hazipo kabisa.Hakika hili ni kosa ,maana kusikia ,kugusa kuonja na kunusa nako ndiko humkamilisha mwanadamu aweze kuyataidi maisha yake.Na hata mbele ya sheria ,ushahidi huweza kutolewa mintaarafu ya kusikia. Kugusa, kuonja na kunusa ulimradhi shahidi awe amesikia kugusa kuonja au kunusa mwenyewe. Ushahidi wa kuambiwa haukubaliwi

Kwa hivyo basi kazi ya sanaa ambayo itazituma fikira za msomaji zihisi kuona, kusikia, kuonja, kugusa, na kunusa matendo na mazingira yanoyosimuliwa humbeleka msomaji huyo katika mipaka au nyanja za juu za ufahamu na furaha

Kila hisia ina umuhimu wake kutokana na mazingira ya tukio linalohusika au kusimulia maana kazi zote za sanaa hutokana na matendo na maisha ya watu ambao matukio, visa na mazingira yao hutumia hisia zao zote tano kwa pamoja au kwa nyakati mbalimbali ili basi msomaji aweze kupatamandhari kamili, na hata yeye mwenyewe ashiriki katika matukio yenyewe kwa msomaji aweze kupata mandhari kamili na hata yeye mwenyewe ashiriki katika matukio yenyewe kwa kuchukia, kuonea huruma n. k muhimu, kabla ya yote apate hisia zote hizo tano kazi ya sanaa inayojihusisha na hisia moja tu au mbili huwa mufsili kisanii kwa vile inashindwa kuwasilisha mandhari za hali halisi kwa msomaji. Je, mara ngapi nyoyo zetu husononeka au kuripukwa kwa mara kwa sababu ya sauti ndogo tu ya ndege aliye pekee nyikani au nyimbo ya zamani? Sauti ya ndege huweza kuleta majonzi ya miaka mingi mno ya utotoni wakati ambapo mtu alifiwa na mzazi, ndugu,jamaa au sahibu wake kadhalika nyimbo ya kale huweza kuchimbua ashiki ya zamani baina ya wapenzi au kutonesha jeraha la masahibu na madhila yaliyopita. Na wala sio nyimbo na sauti ya ndege tu pengine hata harufu ya maua huwa na nguvu za kumbukumbu kubwa mno.

Licha ya yote hayo matumizi ya hisia nyingi yanasaidia kujenga mandhari kanuli ya tukio katika akili ya msomaji mathalan badala ya kuelezwa tu kuwa paliandaliwa chakula kizuri msomaji anaelezwa vitu ambavyovimeandaliwa pamoja na harufu yake badala ya kuambiwa mtu Fulani alikuwa na wajihi wa kutisha huelezwa na kuelewa vyema zaidi kwa kuainisha jinsi pua, macho,rangi nywele, mdomoni na meno ya mtu huyo yalivyo. Na hivyohivyo kwa mifano mingine kadha wa kadha kama vile hasira na ucheshi kutokana na maeleza ya kutosha ya hisia msomaji huweza kumuashiki janabi

Au akadondokwa na ute kutamani chakula ambacho hakipo mbele yake.

Na sio hivyo tu Hisia zinzotumiwa huweza kumfanya msomaji atafakari zaidi ataweza kufikia uamuzi kuhusu picha zinazochorwa kutokana na hisia mbalimbali na wala sio kauli za mkatomkato za mwandishi kama ilvyokusiwa hapo juu kauli za kamkatomkato sio tu hudumaza sanaa hali pia hudhalilisha hata akili ya msomaji kwani umbuji wa mwandishi ni pamoja na kufanya matendo na mazingira anayoyasimulia yawasilishe na kuwakilisha fikira za wahusika wake na ata zake mwenyewe

Hivyo ni dhahiri kuwa hisia humsaidia msomaji kuzama katika matendo na kuelewa fikra za mwandishi mwenyewe, asili na makazi yake kuwadadisi na kuwaelewa wahusika wenyewe n k

(a) Taja na ueleze uwanja ambao hutilia mkazo hisia zote (alama 3)

…………………………………………………………………………..

………………………………………………………………………………

………………………………………………………………………….

…………………………………………………………………………..

( b) kwa mujibu wa kifungu hiki, ni nini matokeo ya kusisitiza hisia ya kuona katika fasihi andishi? (alama2)

…………………………………………………………………………………

………………………………………………………………………………

………………………………………………………………………………

( c) (i) Mwandishi ana maoni gain kuhusu kazi nzuri ya sanaa (alama 2)

……………………………………………………………………………….

……………………………………………………………………………….

……………………………………………………………………………….

(d) Eleza maana ya maneno haya kama yalivyotumiwa katika kifungu ulichosoma

(i) mufsili kisanii……………………………………………………..

(ii) jeraha la masaibu…………………………………………………………

(iii) kumuashiki janabi……………………………………………………….

(alama 4)

2. UFUPISHO

Uchumi wa soko huria ni hali ya kiuchumi ambapo itokeapo amli shughuli na harakati zote za kiuchumi ghairi ya zile ambazo ni za lazima kwa serikali au dola kama ulinzi. Sheria na mpangilio mzima wa jamii huwa huria kwa watu binafsi. Msingi wa soko huria, sifa kuu ya utandawazi ni kuibua na kudumisha mazingira na hali zinazochoche na kumruhusu mtu yeyote kuongozwa na hawaa au matamanio ya kibiashara anoyoyaona sawa pasi na hofu ya kuingiliwa na udhibiti wa serikali.

Mazingira hayo yanawapa watu satua ya kufanya maamuzi kuhusu hatima yao ya kiuchumi uamuzi kuhusu suala la ajira yao, matumizi ya mtaji- kipato na harija zake, na uwezekaji mzima. Suala mojawapo linaloibuka kuhusiana na mfumo wa soko huria ni kuweka mipaka bainifu na wazi baina ya amali na shughulu zinazohusishwa na serikali na zile ambazo huachwa huria na watu kwa mfano inaaminiwa kuwa haki ya kuishi na kulindwa dhidi ya shambulizi, liwe la kichambazi au la kigaidi, ni ya kimzingi ambayo haiwezi kuhuzishwa na uwezo wa kiuchumi wa watu binafsi. Aidha huduma za kimsingi

Za afya nazo zinaingia katika kumbo hili .Ikiwa huduma hizi zitaachwa huria pana uwezekano mkubwa kuwa zitaishia kuwa istihaki ya wenye mtaji na kipto cha juu tu.

Licha ya kuwepo kwa sheria au kanuni huria kutoka nyanja maalum, hutokea hali ambapo udhibiti wa kiserikali ni lazima. Hili hutokea pale ambapo ipo haja ya kuyalinda mazingira hasa kutokana na huchafuzi wa viwanda au tasnia. Aidha udhibiti huo ni lazima pale ambapo haki za watu wengine zinahusika : yaani ikiwa uhuru wa hata mtu mmoja unaadhirika kutokana na sera hizo pana haja yakuingilia ili kusawazisha hali yenywe

 1. Andika kwa muhtasari maana ya uchumi wa soko huria kungana na tarifa hii (maneno 25-30) (alama 5 ya mtiririko)

Matayarisho

……………………………………………………………………………………

……………………………………………………………………………………

……………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………….

…………………………………………………………………………………….

Jibu

…………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………….

……………………………………………………………………………………

(b) Eleza mawazo makuu yanayojitokeza katika aya ya pili nay a tatu (maneno70,75) (alama 10 ya mtiririko)

Matayarisho

………………………………………………………………………………

……………………………………………………………………………….

………………………………………………………………………………..

………………………………………………………………………….

………………………………………………………………………………..

………………………………………………………………………………

Jibu

……………………………………………………………………………….

……………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………….

…………………………………………………………………………………

……………………………………………………………………………….

3. MATUMIZI YA LUGHA

(A) Tambua mzizi katika neno

“ Msahaulifu”………………………….. (alama 1)

(b) Tunga sentensi ukitumia kivumishi cha nomino (alama 1)

…………………………………………………….

( c)Andika kinyume cha

Wasichana watatu wanaingia darasani kwa haraka (alama2)

……………………………………………………….

(d) (i)Fafanua maana ya “mofimo huru” (alama 1)

………………………………………………………….

(ii) Toa mfano mmoja wa mofimu huru (alama 1)

………………………………………………………

(e) Tambua kiambishi awali na tamati katika neno alaye (alama2)

…………………………………………………………………

(f) Tumia kirejeshi – amba – kuunganisha sententsi zifutazo

(i) Mwanafunzi yule ni mrefu

(ii) Mwanafinzi yule amepita mtihani (alama2)

………………………………………………………………………..

………………………………………………………………………..

(g) Sahihisha sentensi hii

Waya yangu imepotea…………………………………………(alama1)

(h) Taja aina ya yambwa iliyopigwa mstari katika sentensi ifuatayo

Mpishi amempikia mgeni wali vizuri (alama1)

………………………………………………………………………..

(i) NenoChuo” lina maana ya “shule inayotoa mafunzo maalum ya kazi fulani

Tunga sentesi mbili kubainisha matumizi mengine mawili ya neno hili(2)

………………………………………………………………………….

……………………………………………………………………………

(j) Ibadilishe chagizo ya mahali kwa ile ya wakati katika sentesi ifuatayo Mchezeji aliucheza mpira mjini Malindi (alama1)

………………………………………………………………………….

…………………………………………………………………………

(k) Eleza maana mbili za sentensi

Yohana alimpikia Husha mpira (alama2)

…………………………………………………………….

………………………………………………………….

(l) Kanusha

Sisi tumemaliza kujenga nyumba ambayo ingalikuwa yake angalifurahia

………………………………………………………………………………

……………………………………………………………………(alama1)

(m) Unda nomino kutokana na

(i) zingua ………………………………………………… (alama1)

(ii) Tosa………………………………………………… (alama1)

(n) Ichore vielelezo matawi sentensi

Paka mdogo amepanda mchungwni (alama4)

………………………………………………………………………………

………………………………………………………………………………

………………………………………………………………………….

(o) Tumia kihuzishi badalia kutunga ubya sentensi hii

Mgeni yuko katika nyumba (alama1)

…………………………………………………………….

(p) Unda kitenzi kutokana na neno sahili” (alama 1)

(q) Eleza tofauti kati ya sauti (z) na (d) (alama2)

(r) Tambua aina ya kitenzi kichopigiwa mstarikatika sentensi

Mzee uenda anacheza kamari (alama1)

………………………………………………………………

(s) Badilisha kiwakilishi kimilikishi kwa kiwakilishi kionyeshi katika sentensi

Chake kilipatikana chini (alama 1)

(t) Tumia mfano mmoja mmoja kutofautisha baina ya sentensi sahili na ambatano

(alama4)

………………………………………………………………………………

………………………………………………………………………………

………………………………………………………………………………

(u) Tunga sentensi itakayodhihiririsha matumizi ya kielezi cha nomino

alama1

……………………………………………………………………….

(v) Andika kwa wingi

Mvua imebomoa nyumba ya jirani (alama 1)

(w) Akifisha kifungu kifuatacho

Huenda serikali iwazie kuidhibiti bei ya petroli hatuwezi kuyaruhusu makampuni ya petroli kumnyanyasa umma alisema waziri wa kawi bei ya petroli imeongezwa mara nne katika kipindi cha mwezi mmoja (alama 4)

………………………………………………………………………………

………………………………………………………………………………

………………………………………………………………………………

4. ISIMU JAMII

Eleza huko ukitoa mifano sifa tano za kimzingi zinazotambulisha sajili ya mazungumzo

(alama 10)

……………………………………………………………………………………..

……………………………………………………………………………………………..

………………………………………………………………………………………….

102/3

KISWAHILI

KARATASI 3

FASIHI

Okt/ Nov 2008

Saa 21/2

THE KENYA NATIONAL EXAMINATIONS COUCIL

Kenya Certificate of Secondary Education

Karatasi 3

FASIHI

Saa 2 ½

Maagizo

Jibu maswai manne pekee

Swali la kwanza ni la lazima

Maswali hayo mengine matatu yachuliwe kutoka sehemu nne zilizopaki yaani

Tamthilia,R iwaya, Hadithi Fupi na Fasihi Simulizi

Usijibu maswali mawili kutoka sehemu moja

Karatasi hii ina kurasa 4 zilizopigwa chapa

Watahiniwa ni lazima waangalie kama kurasa zote za karatasi hii

Zimepigwa chapa sawasawa na kuwa maswali yote yamo

1. (LAZIMA) USHAIRI

Soma shairi hili kasha ujibu maswali yanayofuata

WASAKATONGE

 1. Wasakatonge na juakali

Wabeba zenge ya maroshano,

Ni msukuma mikokoteni,

Pia makuli bandarini,

Ni wachimbaji wa migodini,

Lakini maisha yao chini

 1. Juakali na wasakatonge

Wao ni manamba mashambani,

Ni wachapa kazi viwandani,

Mayaya na madobi wa nyumbani,

Ni matopazi wa majaani,

Lakini bado ni maskini.

 1. Wasakatonge na juakali

Wao huweka serikalini,

Wanasiasa madarakani,

Dola ikiwa mikononi,

Wachaguliwa na ikuluni,

Lakini wachaguaji duni.

 1. Juakali na wasakatonge

Wao ni wengi ulimwenguni,

Tabaka lizilo ahueni,

Siku zote wako matesoni,

Ziada ya pato hawani,

Lakini watakomboka lini?

(Mohammed seif Khatib)

 1. “ Shairi hili ni la kukatisha tamaa” fafanua rai hii kwa kutoa mifano minne

(alama 4)

 1. Taja tamathali ya usemi iliyotawala katika shairi zima na uonyeshe mifano miwili

Ya jinsi ilivyotumika (alama3)

© Eleza umbo na shairi hili (alama5)

(d) Andika ubeti wa tatu katika lugha ya nathari (alama4)

(e) Onyesha mifano miwili ya maadili yanayojitokeza katika shairi hili (alama2)

(f) Eleza maana ya maneno yafuatayo kama yalivyotumika katika shairi

(i) Manamba

(ii) Tabaka lisilo ahueni (alama 2)

TAMTHILIA

Jibu swali la 2 au la 3

Kithaka wa Mberia : Kifo kisimani

2. Ukitumia mifano, onyesha matumizi matano ya mbinu ya ishara kama ilivyotumiwa katika tamthilia ya kifo kisimani (alama 20)

3. “Kwa hakika, kama mzazi hana kifani katika Butangi nzima. Na pengine hata katika ulimwengu mzima”

(a) Eleza muktadha wa dondoo hili (alama4)

(b) “Watu waliojiita washauri wa Mtemi Bokono walikuwa si washauri halisi bali wanafiki waliomdanganya” Thibitisha kauli hii kwa kutoa mifano mitano (alama16)

RIWAYA

Jibu swali la 4 au la 5

Z. Burhani: Mwisho wa kosa

4. “ Wanawake katika riwaya ya mwisho wa kosa wamepewa nafasi ndogo katika maswala ya maendeleo ya kijamii” Thibitisha kauli hii kwa kutoa mifano kumi

(alama20)

 1. Eleza jinsi wahusika wafuatao wanavyoafiki anwani ya riwaya ya mwisho wa kosa

(a) Ali (alama 10)

(b) Asha (alama 10)

HADITHI FUPI

K. W. WAMITILA (Mhariri) Mayai Waziri wa Maradhi na Hadithi nyingine

6. “ Umdhaniaye ndiye,kumbe siye”

Kwa kurejelea hadithi zozote tano katika diwani ya Mayai Waziri wa Maradhi na Hadithi Nyingine,onyesha ukweli wa kauli hii. (alama 20)

FASIHI SIMULIZI

7. Fafanua sifa zozote kumi za mtambaji bora wa ngano. (alama 20)

 

More High School Past papers