Sale!

Mwongozo wa kigogo

300.00KES 50.00KES

(2 customer reviews)

This is a guide to Mwongozo wa kigogo and has been written with student’s requirements in mind

Description

MWONGOZO WA KIGOGO

 MTIRIRIKO;

ONYESHO LA PILI

 TENDO LA KWANZA.

Ni ofisini mwa Mzee Majoka, anaongea kwa simu Chopi anapoingia.Ashua anafika kumwona Majoka,anataka kumkumbatia lakini Ashua anakataa.Majoka anakasirika Ashua anapomwita mzee na kufurahi anapomwita Ngao, jina lake la ujana.

Ashua amefika kuomba msaada lakini Majoka anamtaka kimapenzi.Anajaribu kumbusu  lakiniAshua anakwepa.Majoka anamshawishi, anajisifu na kujilinganisha na Lyonga wa uswahilini na Samsoni Myaudi.

Majoka anasema kuwa soko limefungwa kwa sababu ya uchafu, anatenga eneo hilo ili kujenga hoteli ya kifahari.Wanasagamoyo wanalitegemea soko hilo kula, kuvaa na kuendesha maisha yao.

Ashua anakataa kazi ya ualimu anayopewa Majoka and Mahoka academy, angekuwa mwalimu mkuu katika shule mojawapo ya kifahari.

 

 

2 reviews for Mwongozo wa kigogo

  1. Sammy mwekulu

    This is the best mwongozo wa kigogo guide available.Very cheap and has everything needed for the set book.Cheers Kenyanexams

  2. Jackson

    Naipenda sana mwongozo huu.Thank you from Kaisale boys

Add a review